~ ~ iga mishono ya vitenge kutoka kwa YEMI ALADE ~ ~

Yemi Alade ni moja kati ya wasanii wa kike wanao fanya vizuri kwa sasa si ki muziki tu bali ki mitindo pia. Adolescent weza kusema pia Yemi ni moja kati ya watu wanao penda kuonekana ki Africa hata ukiangalia video zake nyingi mavazi yake ni ya kitenge au vibwaya leo adolescent kuletea mishoni michache kati ya mingi tuliyo ipenda kutoka kwake
» Read more