SIMPLE MISHONO KUTOKA KWA LINAH

Linah Sanga, Jacqueline Wolper na Salma Msangi wote ni watu maarufu ambao wana tazamwa na wengi, ikiwa kama kioo cha jamii watu wengi upenda kuiga mavazi yao basi hii ni mishono simple ya kitenge ambayo wameonekana nayo hivi karibuni una weza kuiga