## MISHONO YA KITENGE KUTOKA NIGERIA ##

Wadau, hebu angalieni mishono hii bomba ya vitenge kutoka Nigeria kisha amua mwenyewe ni mshono upi kati ya hii unadhani unaweza ukauvaa mahali popote kama abandoned Nyumbani, kanisani, kazini kwa kitchen affair n.