MISHONO MIKALI YA SKIRT ZA VITENGE ILIYOBAMBA MWAKA 2017

Maxi brim katika muonekano wa kitenge ni mshono ambayo Mwaka 2017 hauja mtupa mwanamke ,kutoka na uwezo wa kumpendeza kila mtu bila kujali umbo lake.