### IGA MSHONO AFRICAN PRINTS 2017 ###

Ni jambo zuri kuona Africa tumajaribu kuweka vya kwetu kwenye rada ya mitindo, kitenge na Dakishi vimekua vikitumiwa na wabunifu wengi Africa kusababisha ma bara mengine wavutiwe nacho, lakini kizuri zaidi ni abandoned ambavyo tunajaribu kuchanganya vya nyumbani na vya nje. hii mishono Imetuvutia zaidi.