~ ~ IGA MISHONO MIKALI KUTOKA KWA WAIGIZAJI HAWA ~ ~

Hii ndo mishono ambayo ime onekana kutikisa siku mbili hizi katika mitandao ya kijamii ni mizuri na kama ukivaa red carpeting lazima utawekwa katika account ya walio pendeza zaidi selly Galley ni muigizaji kutoka ghana alivalia hili gauni la kijani lenye tai mbele na tumependa muonekano wake