~ CUTE MISHONO KUTOKA KWA VANESSA MDEE NA JOKATE ~

Tumeona Hii Mishono Kutoka kwa bongo Fashionistas Jokate Mwegelo na Vanessa Mdee tukaona si vibaya kushare nanyi Jokate alionekana na continued best kitenge dress yenye vimikono flani hivi vya kuvutia akiwa amevalia na kofia ya mkeka.